Pages

Wednesday, May 28, 2014

Matukio katika picha ya sherehe ya Kitchen Party ya Dida katika ukumbi wa rehema jijini Mbeya


 Bi harusi Mtarajiwa Hadija Abdi a.k.a Dida akikata keki katika sherehe ya Kitchen party yake iliyofanyika katika ukumbi wa Rehema jijini Mbeya

 Bi harusi Mtarajiwa akiingia ukumbini tayari kwa kuanza sherehe yake ya Kitchen party
 Bi harusi akiwa ameketi kwenye kiti maalum ndani ya ukumbi wa Rehema katika sherehe yake ya Kitchen Party katika ukumbi wa rehema jijini hapa

 Bi. Harusi mtarajiwa akiwa na Bw. harusi mtarajiwa Rashid Abdalah Msita "DJ Shibobo" na Mtangazaji wa Generation Fm  mara baada ya kuwasili ukumbini kwa ajili ya kutoa zawadi kwa mchumba wake mtarajiwa .
 Wanandoa watarajiwa wakionyesha mapenzi yao  ya kweli mbele wageni waalikwa
 Wageni waalikwa wakimpongeza Siwajibu a.k.a Mama Abdul kwa kazi nzuri na upendo aliouonyesha katika kuandaa Kitchen party hiyo


 Fundi maalufu wa nguo za kike jijini Mbeya Hidaya akimpongeza  Bi harusi Mtarajiwa Pembeni ni Mama mjasiliamali Tumpe Mwakaje
Mmiliki wa blog hii Brandy Nelson akiwa katika picha ya pamoja na rafiki zake wa katibu  kushoto ni Nicetha Mushi  na kulia ni Biam Mselemu
 Wajasiliamali Tumpe Mwakaje na Husma George Town wakiwa katika picha pamoja
 Pichani  ni Mama P,Anne Kanyamala na Nicetha Mushi wakifurahia sherehe kwa pamoja
 Mshehereshaji  maalufu wa Kitcheni party Mkoani Mbeya Teddy Ndoma a.k.a Mama Ndomba akiwa amekaa kwenye gauni la Bi harusi mtarajiwa
 Pichani ni familia ya Bi harusi Mtarajiwa
 Gwiji la taarabu Isha Ramadhani akimpongeza  Mama abdul
 Tumpe Mwakaje akiwa katika picha ya pamoja na Isha Ramadhani na MC Dida
 Kamati ya maandalizi ya sherehe hiyo wakipeleka Zawadi ambapo walimzawadia Bi harusi kiasi cha Sh 1.5 milioni
 Bi.harusi mtarajiwa akijumuika pamoja na wageni waalikwa katika kulisakata rumba

 Biam Mselemu akionyesha ufundi katika kucheza ikiwa ni alama ya  furaha  katika sherehe hiyo
 Wageni waalikwa wakilisakata rumba kwa furaja kubwa
 Nicetha Mushi,Mama p na Anne Kanyamala wakifurahia kwa pamoja
 Maharusi  watarajiwa wakicheza muziki mbele ya wageni waalikwa
 Biam Mselemu akionyesha pozi
 Nicetha Mushi hakuwa Nyuma katika kuonyesha umaridadi wake wa kuweka pozi

 Fundi maalufu wa nguo za kike Mkoani Mbeya Hidaya akiwa katika pozi

 Anne Kanyamala na Husna George Town wakiwa katika pozi la pamoja
 Dada wa mujini Tumpe Mwakaje akiwa katika pozi la ukweli


 Hapa furaha ilizidi kiwango

 Mama P akiwa katika pozi
 Wageni walikwa wakiwa wametulia kwenye viti vyao wakishuhudia matukio yanyoendelea katika sherehe hiyo


Bwana harusi mtarajiwa na wapambe wake wakiwa katika picha ya pamoja na Bi harusi mtarajiwa

0 comments: