Pages

Sunday, March 8, 2015

Matukio ya sherehe za siku ya mkulima katika kijiji cha Lumbe Wilaya ya Rungwe


 Meneja wa mradi wa kilimo hifadhi kutoka shirika la HRNS Webster Miyanda akitoa maelezo mafupi kuhusu kilimo hicho katika  sherehe za siku ya mkulima zilizofanyika katika kijiji cha Lumbe Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya ambapo asilimia 90 ya wananchi wakijiji hicho wameamua kutumia kilimo hifadhi na kuachana na kilimo cha kawada kwa ajili ya kuwa na uhakika wa chakula.



 Afisa kilimo Wilaya ya Rungwe akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi  mtendaji wa halmashauri katika sherehe hizo
 Wakulima na wananchi waliohudhuria sherehe hizo

 Wafanyakazi wa HRNS

Mkulima Richard Abraham akielezea jinsi alivyotumia kilimo hifadhi katika shamba lake la mahindi

 Wageni waalikwa wakiwa pamoja na mgeni rasmi wa sherehe hiyo
 Mfanyakazi wa HRNS Ipyana akitoa maelezo na ratiba nzima ya sherehe hizo za siku ya mkulima



0 comments: