Pages

Friday, August 14, 2015

LOWASSA AFUNIKA MBEYA,MAPOKEZI YAKE YAVUNJA REKODI,MWANJALI, KILUFI WAJIUNGA CHADEMA

Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA kupDitia UKAWA Edward Lowassa akizungumza na maelfu ya wakazi wa Jiji la Mbeya leo jioni katika viwanja vya Ruanda Nzovwe

Baadhi ya wananchi waliojitokeza kumlaki Mheshimwa Lowassa katika barabara kuu ya Tanzania Zambia wakati akitokea uwanja wa ndege wa Songwe



Waendesha Bodaboda wakiwa wamejipanga uwanja wa ndege Songwe kumsubiri Mheshimiwa Lowassa

Mbunge wa Mbeya Vijijini aliyemaliza muda wake Mchungaji Luckson Mwanjali akiwa pamoja na viongozi wa CHADEMA wakati wa kumpokea Mheshimiwa Sanga
  



 
Mheshimiwa Lowassa, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, Mbunge wa Mbeya Vijijini Luckson Mwanjale na aliyewahi kuwa Mbunge wa Lupa Njelu Kasaka wakiwa katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe mara baada ya Mheshimwa Lowassa kuwasili uwanjani hapo leo mchana.
Baadhi ya wakazi wa Jiji la Mbeya kwenye mkutano uliohutubiwa na viongozi wa UKAWA


Mgombea mwenza wa CHADEMA Juma Duni Haji akizungumza na maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya Ruanda Nzovwe leo jioni


0 comments: