Pages

Sunday, December 7, 2014

WANAFUNZI WALIOSOMA SANGU WAUNDA UMOJA WA KUSAIDIANA KATIKA SHIDA NA RAHA

 Wanafunzi waliosoma Sangu  wanaoishi jijini Dar es salaam wakiwa katika kikao kilichoafanyika katika hotel ya Land Mark jiji Dar es Salaam wakijadiliana jinsi ya kuendeleza umoja huo na Mkutano mkuu unaotarajia kufanyika katika hotel ya GR jijini Mbeya ambapo wote walioko nje ya mbeya watafika kwa ajili ya kuhudhulia mkutano huo Dec 20,2014.


 Wajumbe wakimsikiliza mmoja wa kiongozi wa umoja huo Azuruni Kishimba

 Pichani ni wajumbe wa Mbeya ambao nao siku hiyo walikuwa na mkutano wao uliofanyika GR Hotel na baadae kupata chakula cha mchana kwa pamoja


 Pichani ni moja ya wanafunzi waliosoma Sangu wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukutana pamoja Mkoani Mbeya

1 comments:

Unknown said...

dada brandy nashukuru kwa mchango wako wa kuweka habari ukiwa kama mdau wa sangu nakupa hongera sana