Pages

Friday, July 4, 2014

MATUKIO KATIKA PICHA YA MUUNGANO WA JAMII TANZANIA MUJATA WAKITOA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO

Chifu wa kabila la  Wasangu ambaye pia ni mwenyekiti wa  maadili kwa wazee Chifu Melele akimgawia nguo mhathirika wa mafuriko Wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya




Waathirika wa mafuriko Wilaya ya Kyela wakipiga makofi  ikiwa ni ishara ya kufurahia msaada wa nguo uliotolewa na mujata

0 comments: