| Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA kupDitia UKAWA Edward Lowassa akizungumza na maelfu ya wakazi wa Jiji la Mbeya leo jioni katika viwanja vya Ruanda Nzovwe |
| Baadhi ya wananchi waliojitokeza kumlaki Mheshimwa Lowassa katika barabara kuu ya Tanzania Zambia wakati akitokea uwanja wa ndege wa Songwe |
| Waendesha Bodaboda wakiwa wamejipanga uwanja wa ndege Songwe kumsubiri Mheshimiwa Lowassa |
| Mbunge wa Mbeya Vijijini aliyemaliza muda wake Mchungaji Luckson Mwanjali akiwa pamoja na viongozi wa CHADEMA wakati wa kumpokea Mheshimiwa Sanga |
| Baadhi ya wakazi wa Jiji la Mbeya kwenye mkutano uliohutubiwa na viongozi wa UKAWA |
| Mgombea mwenza wa CHADEMA Juma Duni Haji akizungumza na maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya Ruanda Nzovwe leo jioni |
0 comments:
Post a Comment