| Nao wafanyakazi kutoka Idara ya Habari Maelezo Bw. Mwakilasa na Bibi Mwasandube wakimtunukia zawadi Anna Nkinda wakati wa SendOFF kwenye ukumbi wa kanisa la Kilutheri Jijini Mbeya. |
| Sherehe iliendelea kunoga |
| Anaameremetaaaaa!!!! |
| Bibi harusi mtarajiwa akimlisha keki mmoja wa wapambe wake!!!! ni rahaaa tuuuu!!!! |
| Asante mama kwa kunilea na kunikuza hadi leo unanikabidhi kwa wengine!!! ndivyo anavyoonekana kusema Anna Nkinda wakati akimkabidhi mama yake Keki |
0 comments:
Post a Comment