Kamanda wa polisi Mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi akizungumza na Waandishi wa habari ofisini kwake kuhusiana na hali ya utulivu katika Mkoa wa Mbeya
Thursday, February 26, 2015
LIGI DARASA LA NNE YAANZA MBEYA VIJIJINI
KULIA ni Gordon
Kalulunga akifuatiwa na Christopher Nyenyembe, wakikabidhi mpira aina ya
Jabulani kwa wanafunzi wa shule ya Msingi Izumbwe na Ofisa Mtendaji wa
kata ya Igale wilaya ya Mbeya Vijijini mkoani Mbeya jana. Zawadi hiyo
imetokana na marafiki wa Kaluunga ndani ya jimbo hilo, nje ya Jimbo,
mkoa na nje ya Tanzania.
WAZIRI MKUU PINDA AZINDUA SOKO KUU LA MWANJELWA
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akizungumza mara baada ya kukamilisha zoezi la
uwekaji wa jiwe la Msingi katika soko mradi wa soko la kimaifa la
mwanjelwa jijini Mbeya ikiwa ni sehemu ya ziara yake kutembelea shughuli
mbalimbali za kimaendeleo zinazo tekelezwa na serikali pamoja na wadau
wa maendeleo katika Mkoa huo Feb 26 ,2015. - See more at:
http://jamiimoja.blogspot.com/2015/02/waziri-mkuu-mizengo-pinda-ataka-usawa.html#sthash.839y8RRF.dpuf
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwahutubia wafanyabishara na soko la Mwanjelwa ,ara baada ya kuweka jiwe la msingi katika soko hilojipya la kisasa.SAFARI LAGER YATANGAZA BAR 5 ZILIZOINGIA FAINALI NYAMA CHOMA MBEYA 2015.
Meneja matukio wa Tbl Nyanda za juu Kusini,
Abubakari Masoliakizungumza na vyombo vya habari alipokuwa akitangaza Bar zilizotinga fainali ya Safari lager nyama choma Mkoani Mbeya lijulikanalo kama “Safari Lager Nyama Choma Competition 2015”
Monday, February 9, 2015
UWAMU Saccos watoa msaada wa Madawati 100 Mbeya
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Dr Norman Sigalla akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa shule ya msingi baada ya kupokea msaada wa madawati 100 yenye thamani ya Sh5milioni kutoka kwa chama cha akiba na mikopo (Uwamu Saccos) cha bonde la Uyole jijini Mbeya.
Subscribe to:
Posts (Atom)