Pages

Saturday, July 12, 2014

MATUKIO KATIKA PICHA YA SHEREHE YA KITCHENPARTY YA GROLIA TESHA ILIYOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA REHEMA

 Pacha watatu wakiwa katika pozi





 Wadada  wakiwa katika picha ya pamoja katika sherehe ya Kitchen Party ya Grolia Tesha
Hidaya Chusu  fundi mkuu wa nguo katika jiji la Mbeya

 Happy Sarehe akiwa katika pozi



 Ruth Jonas  a.k.a Mama P sambamba na Mijja wakiwa katika picha ya pamoja
 Tumpe Mwakaje akiwa katika picha ya pamoja na Anne Kanyamala  wakinadada wa ukweli

 Nicetha Mushi akiwa katika Pozi




Wadada  wakiwa katika picha ya pamoja katika sherehe ya Kitchen Party ya Grolia Tesha

Husna George Town akiwa katika pozi katika ukumbi wa Rehema jijini Mbeya

Anne Kanyama la na  Husna George Town wakiwa katika pozi

0 comments: