Pages

Tuesday, July 15, 2014

HABARI KATIKA PICHA ZA MKUTANO WA BARAZA LA BIASHARA LA MKOA WA MBEYA

Wakuu wa Wilaya  za  Mkoa wa Mbeya wakiwa katika mkutano wa baraza la biashara la Mkoa ambapo wakuu hao ni wajumbe wa baraza hilo

 Wajumbe wa baraza la biashara la Mkoa wa Mbeya wakiwa katika mkutano wa baraza hilo kwa ajili ya kujadili kongamano la uwekezaji linalotarajia kufanyika Agosti mosi mwaka huu  na kuzinduliwa na Waziri mkuu Mizengo Pinda

 Wakurugenzi wa halmashauri za Wilaya ya Mbeya wakifuatilia taarifa katika mkutano wa baraza la biashara la Mkoa wa Mbeya
Mkuu wa Mkoa wa Mbeyua Abbas Kandoro akisikiliza kwa makini mada iliyokuwa ikiwasilishwa na Makamu mwenyekiti wa TCCIA Taifa Julius Kaijage katika mkutano wa baraza la biashara la Mkoa wa Mbeya katika ukumbi wa shein jijini hapa.




0 comments: