Pages

Monday, July 21, 2014

MATUKIOA YA PICHA KATIKA SHEREHE YA KITCHENPARTY YA BERNABETA MWAKINGILI KATIKA UKUMBI MTENDA


Mawifi wa bi harusi mtarajiwa wakiwa katika picha ya pamoja

 Wageni walikwa wakipeleka zawadi kwa mama wa bi harusi mtarajiwa
 Hidaya Kateti bingwa wa kushona nguo za kike mkoa wa mbeya akiwa katika picha ya pamoja na mpishi wa chakula katika sherehe hiyo
Bi harusi mtarajiwa akiwa amepiga magotio akiwashukuru wageni waalikwa na kamati ya maandalizi

Mawifi wakifurahia katika meza yao



 Mawifi wakiwa wamembeba bi harusi mtarajiwa ikiwa ni ishara kumpongeza






0 comments: