Pages

Saturday, July 26, 2014

KANDORO AZINDUA BARABARA YA STENDI KUU META

 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akikata utepe katika uzinduzi wa barabara ya Stendi kuu Meta yenye urefu wa kilometa 2.1 iliyojengwa na halmshauri ya jiji la Mbeya kwa kiwango cha lami kulia kwake ni mstahiki meya wa jiji la Mbeya Atanas Kapunga,kushoto ni Mkuu waWilaya ya Mbeya Dr Norman Sigalla na  Kaimu Mkurugenzi wa halmashauri ya jiji la Mbeya Dr.Samweli Lazaro


 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro pamoja na Mstahiki meya Atanas Kapunga,Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Dr Norman Sigalla na kaimu Mkurugenzi wa jiji la Mbeya wakishangilia mara baada ya kukata utepe wa uzinduzi wa barabara hiyo

 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akiwahutubia wananchi waliofika kushuhudia uzinduzi huo katika eneo la Hospitali ya Wazazi Meta
 Kaimu Mkurugenzi wa jiji la Mbeya Dr Samweli Lazaro akitoa taarifa ya uhjenzi wa barabara hiyo iliyogharimu kiasi cha fedha Sh1.5bilioni
 Madiwani wa halmashauri ya jiji la Mbeya wakisikiliza hotuba ya mkuu wa Mkoa wa Mbeya
 Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Norman sigalla akitoa salama katika uzinduzi huo

 Wajumbe wa Kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya ya Mbeya wakisikiliza hotuba ya mkuu wa mkoa

 Wasanii wa ngoma ya kabila la Wangoni maarufu kwa jina la Lizombe wakitoa burudani katika uzinduzi huo


 Wageni waalikwa wakisikiliza kwa makini hotuba ya mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas kandoro
mKUUU Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akipiga makofi mara baada ya kuzindua barabara hiyo


0 comments: