Meneja wa mradi wa kilimo hifadhi kutoka shirika la HRNS Webster Miyanda akitoa maelezo mafupi kuhusu kilimo hicho katika sherehe za siku ya mkulima zilizofanyika katika kijiji cha Lumbe Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya ambapo asilimia 90 ya wananchi wakijiji hicho wameamua kutumia kilimo hifadhi na kuachana na kilimo cha kawada kwa ajili ya kuwa na uhakika wa chakula.
Afisa kilimo Wilaya ya Rungwe akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri katika sherehe hizo
Wakulima na wananchi waliohudhuria sherehe hizo
Wafanyakazi wa HRNS
Mkulima Richard Abraham akielezea jinsi alivyotumia kilimo hifadhi katika shamba lake la mahindi |
Wageni waalikwa wakiwa pamoja na mgeni rasmi wa sherehe hiyo
Mfanyakazi wa HRNS Ipyana akitoa maelezo na ratiba nzima ya sherehe hizo za siku ya mkulima
0 comments:
Post a Comment