Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akitangaza
baraza lake la mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam jana Desemba 10, 2015. Kulia
kwake ni Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na kushoto ni Waziri Mkuu,
Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa.
Jana Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dr John Magufuli
anatangaza baraza la mawaziri wa Jamhuri wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Tuwe pamoja kulifahamu baraza letu.
Magufuli: Kumekuwa na speculation nyingi na watanzania wamekuwa na
hamu kubwa ya kujua baraza la mawaziri, baada ya kusubiri kwa muda mrefu, baada
ya kuapa tulitakiwa angalau tarehe kumi tuwe tumetangaza baraza.
Tuliona angalau tujiridhishe kwanza, baraza lililopita lilikuwa na
mawaziri na manaibu zaidi ya 59, tukaona tuwe na baraza dogo. Hatuwezi kukaa
bila baraza, katika baraza hili, wizara nyingi tumeziunganisha na kutakuwa na
wizara 18 na tutakuwa na mawaziri 19 tu, kuna baadhi ya wizara zitakuwa na
mawaziri na hazitakuwa na manaibu waziri.
Lengo ni kutimiza ahadi yetu ya kuwa na baraza dogo kupunguza gharama na
effective kwa kufanya kazi. Zilitengwa bilioni 2, mawaziri watakapoteuliwa
waende semina elezi, baraza nitakaloliteua halitakuwa na semina elekezi na
fedha tutaelekeza sehemu nyingine kama ni madawati au kwenye elimu bure.
Watafanya semina elekezi wenyewe ndani kwa ndani.
BARAZA LA
MAWAZIRI
WIZARA OFISI
YA RAIS,TAMISEMI, UTUMISHI NA UTAWALA BORA.
Mawaziri -
George Simbachawene na Angella Kairuki
Naibu Waziri
- Sumeilam Jafo. Naibu.
WIZARA OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO NA MAZINGIRA
Waziri -
January Makamba
Naibu Waziri
– Luhaga Jerrson Mpina
OFISI YA
WAZIRI MKUU SERA,BUNGE,KAZI VIJANA, AJIRA NA WALEMAVU
Waziri -
Jenista Muhagama
MaNaibu –
Dkt. Possy Abdallah na Anthony Mavunde.
WIZATA
KILIMO MIFUGO NA UVUVI
Waziri -
Mwigulu Nchemba
Naibu Waziri
- William Ole Nasha
WIZARA YA
UJENZI,UCHUKUZI NA MAWASILIANO
(waziri Bado
hajapatikana).
Naibu Waziri
– Inj. Edwin Amandusi Ngonyani
WIZARA YA
FEDHA NA MIPANGO
(Waziri Bado
hajapatikana).
Naibu Waziri
- Ashantu Kizachi
WAZIRI WA NISHATI NA MADINI
Waziri - Prof.
Mwijarubi Muhongo.
Naibu Waziri
- Medalled Karemaligo.
WIZARA YA
KATIBA NA SHERIA
Waziri -
Harrison Mwakyembe
WAZIRI WA
MAMBO YA NJE, USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI,KIKANDA NA KIMATAIFA.
Waziri - Dk.
Augustino Mahiga
Naibu Waziri
– Dkt. Susan Kolimba.
WIZARA YA
ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA
Waziri - Dk.
Hussein Mwinyi
WIZARA YA
MAMBO YA NDANI
Waziri -
Charles Kitwanga.
WIZARA YA
ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI.
Waziri -
William Lukuvi
Naibu Waziri
- Angelina Mabula
WIZARA YA
MALIASILI NA UTALII
(Waziri Bado
hajapatikana).
Naibu
Waziri– Inj. Ramol Makani
WIZARA YA
VIWANDA,BIASHARA NA UWEKEZAJI.
Waziri
Charles Mwijage.
WIZARA YA
ELIMU,SAYANSI TEKNOLOJIA NA UFUNDI
(Waziri Bado
hajapatikana).
Naibu Waziri
– Inj. Stella Manyanya
WIZARA YA
AFYA MAENDELEO YA JAMII,JINSIA, WAZEE NA WATOTO
Waziri -
Ummy Mwalimu
Naibu Waziri
– Dkt. Hamis Kigwangala
WIZARA YA
HABARI,UTAMADUNI,WASANII NA MICHEZO
Waziri -
Nape Nnauye
Naibu Waziri
- Anastasia Wambura.
WIZARA YA
MAJI NA UMWAGILIAJI
Waziri –
Prof. Makame Mbarawa
Naibu
Waziri– Inj. Isack Kamwela
( KWA HISANI YA JOSEPHAT LUKAZA BLOG)
( KWA HISANI YA JOSEPHAT LUKAZA BLOG)
0 comments:
Post a Comment