WCS chini ya Ufadhili wa USAID iliwawezesha chama cha wanahabari za Utalii na Uwekezaji Tanzania TAJATI kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Kitulo |
Mbunge wa Makete Dkt Norman Sigalla alipata firsa ya kuzungumza na wana TAJATI walipotembelea kwenye ofisi za Halmashauri ya wilaya ya Makere |
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete Francis Namaumbo akizungumza na wanahabari wana TAJATI(pichani chini)waliotembelea ofisini kwake |
Baadhi ya wanahabari wana TAJATI wakifuatilia maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Halmshaudri ya wilaya ya Makete(picha juu) walipotembelea ofisini kwake miwshoni mwa wiki. |
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Makete Francis Namaumbo akiwa katika picha ya pamoja na wanahabari wana TAJATI walipotembelea halmashauri ya Makete mwishoni mwa wiki. |
Mmiliki wa Blogu hii Brandy Nelson akizungumza jambo kwenye kikao kilichowakutanisha wanahabari wana TAJATI na mhifadhi wa hifadhi ya Taifa ya Kitulo |
Wanahabari wakifuatilia jambo kutoka kwa mhifadhi mkuu wa hifadhi ya Taaifa Kitulo |
Wanahabari wana TAJATI wakiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa Hifadhi ya Taifa Kitulo |
Wanahabari wana TAJATI wakiwa mbele ya bango linalotambulisha Hifadhi ya Taifa ya Kitulo |
Faraja Dembe Ofisa kutoka WCS akiwaonesha wanahabari maeneo na mipaka ya Hifadhi ya Kitulo |
Wanahabari wakivinjari katika uwanda wa maua kwenye Hifadhi ya Taifa ya Kitulo walipotembelea mwishoni mwa wiki |
Wanahabari Brandy Nelson na Esther Macha wakijiselfisha walipotembelea kwenye Hifadhi ya Taifa ya Kitulo wilayani Makete mkoani Njombe |
Wanahabari wakiwa kwenye mpaka wa Mkoa wa Mbeya na Njombe walipokuwa wakirejea kutokea wilayani Makete mkoani Njombe |
0 comments:
Post a Comment