Pages

Friday, November 29, 2013

Miaka 10 ya mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA tangu kuanzishwa kwake

Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Crispin Meela  akitoa hotuba kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya  siku ya kuadhimisha mika 10 ya TCRA katika ukumbi wa mtenda Sunset Hotel jijini Mbeya
 Meneja wa TCRA  kanda ya nyanda za juu kusini  akizungumza na Wadau
 Wadau wakisikiliza kwa makini  maelezo kuhusu TCRA katika kuadhimisha miaka 10 ya TCRA tangu kuanzishwa kwake
 Wadau waliohudhulia sherehe ya maadhimisho ya miaka 10 ya TCRA wakiwa katika picha ya pamoja
Kikundi cha utamaduni kikitoa burudani katika maadhimisho ya miaka 10 ya TCRA
Waandishi wa habari wakiwa kazini katika kuadhimisha miaka 10 ya TCRA

0 comments: