Pages

Sunday, December 1, 2013

kumbukumbu ya Clemence Mpepo aliyekuwa mtangazaji wa Bomba fm Mbeya

Wafanyakazi ,Waandishi na Watangazaji wa  Bomba  fm leo wanafanya kumbukumbu ya kifo cha aliyekuwa mtangazaji wa Bomba fm  Clemence Mpepo  ambaye alifariki dunia Novemba mwaka jana 2012 jijini Dar es Salaam na kuzikwa huko.

Kwa mujibu meneja wa Bomba Fm Fredy Herbet kumbukumbu hizo zitaendana na mechi ya mpira wa miguu kati ya  timu ya Bomba Fm na  timu ya soka ya mashabiki wa Mbeya City  mchezo huo utafanyika leo katika kiwanja cha  Luanda Nzovwe CCM Jijini Mbeya kuanzia saa 9:00 Arasili.

0 comments: