Pages

Friday, July 4, 2014

MATUKIO KATIKA PICHA YA MAADHIMISHO YA SIKU YA KUPINGA MATUMIZI YA MADAWA YA KULEVYA

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas kandoro akizungumza katika maadhimisho hayo

Mkurugenzi wa RC Foundation Rehema Chalamila akitoa ushuhuda wake kutokana na matumizi ya madawa ya kulevya na kumsababishia kutoa machozi mbele ya umati mkubwa wa watu waliohudhuria katika maadhimisho hayo

Makamu wa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Ghalib Bilali akifuzungumza na Mkurugenzi wa RC Foundation Rehema chalamila wakati alipotembelea banda la taasisi hiyo katika maadhimisho hayo

Ngoma ya Lizombwe ya kabila la wangoni wakitumbuiza katika maadhimisho hayo

Maandamano yakiingia katika uwanja wa ruanda nzovwe na kupokelewa na makamu rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania  Ghalib Bilali

Bendi ya babby TOT ya Mkoani Mbeya ikitumbuiza katika maadhimisho hayo

0 comments: