Thursday, July 31, 2014
Monday, July 28, 2014
FUNZA WA AJABU WASHAMBULIA UFUTA MOMBA
Mkuu wa Wilaya ya Momba Abihudi Saideya
FUNZA wa ajabu wenye maumbile madogo mchanganyiko wa rangi, nyekundu, nyeusi na kijani wamevamia na kushambulia kwa kasi zao la Ufuta katika vijiji vilivyopo Tarafa ya Kamsamba wilayani Momba mkoani Mbeya.
FUNZA wa ajabu wenye maumbile madogo mchanganyiko wa rangi, nyekundu, nyeusi na kijani wamevamia na kushambulia kwa kasi zao la Ufuta katika vijiji vilivyopo Tarafa ya Kamsamba wilayani Momba mkoani Mbeya.
KUSHAMILI KWA WIMBI LA WIZI WA MITA ZA MAJI,MBEYA UWSA YATANGAZA BINGO
Kisima cha maji kilichopo katika ofisi za mamlaka ya maji safi na taka jiji la Mbeya.
WIMBI la
Wizi wa mita za maji umeshamili jijini Mbeya ambapo ndani ya miezi miwili
kuanzia Juni hadi Julai zaidi ya mita 50
zimeibiwa.imeeelezwa
Kutokana na
kuwepo kwa tatizo hilo mamlaka ya maji safi na taka jiji la Mbeya(MUWASA)imetanganza
bingo kwa mtu yeyote ambaye atatoa taarifa sahihi ya mahali ambapo mita hizo zinapelekwa
atapewa fedha tasilimu Sh300,000.
ANSWAR SUNNA WAWAPINGA BOKO HARAM, ALSHABAB KWA KUJILIPUA MABOMU NA KUUA WASIO NA HATIA
Ustadhi Ibrahimu Mkate akizungumza katika Ibada ya Swala ya Idd El Fitri kwenye Viwanja vya Kiwanja Ngoma Sokomatola Jijini Mbeya jana asubuhi. |
Waumini wa dini ya Kiislamu wakiwa katika Ibada ya Swala ya Idd jana asubuhi. |
Waumini katika Ibada ya Swala ya Idd el Fitri Jijini Mbeya jana asubuhi. |
JUMUIYA
ya waislamu wa Answar Sunna mkoani Mbeya wamesema kitendo cha mauaji na
utekaji nyara kinachofanywa na makundi ya Boko Haram na Alqaida ni uovu
unaopaswa kupingwa na waislamu kote duniani kwa kuwa si mafundisho ya
dini hiyo.
Saturday, July 26, 2014
KANDORO AZINDUA BARABARA YA STENDI KUU META
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akikata utepe katika uzinduzi wa barabara ya Stendi kuu Meta yenye urefu wa kilometa 2.1 iliyojengwa na halmshauri ya jiji la Mbeya kwa kiwango cha lami kulia kwake ni mstahiki meya wa jiji la Mbeya Atanas Kapunga,kushoto ni Mkuu waWilaya ya Mbeya Dr Norman Sigalla na Kaimu Mkurugenzi wa halmashauri ya jiji la Mbeya Dr.Samweli Lazaro
Monday, July 21, 2014
Tuesday, July 15, 2014
HABARI KATIKA PICHA ZA MKUTANO WA BARAZA LA BIASHARA LA MKOA WA MBEYA
Wakuu wa Wilaya za Mkoa wa Mbeya wakiwa katika mkutano wa baraza la biashara la Mkoa ambapo wakuu hao ni wajumbe wa baraza hilo |
Wajumbe wa baraza la biashara la Mkoa wa Mbeya wakiwa katika mkutano wa baraza hilo kwa ajili ya kujadili kongamano la uwekezaji linalotarajia kufanyika Agosti mosi mwaka huu na kuzinduliwa na Waziri mkuu Mizengo Pinda
Wakurugenzi wa halmashauri za Wilaya ya Mbeya wakifuatilia taarifa katika mkutano wa baraza la biashara la Mkoa wa Mbeya
Mkuu wa Mkoa wa Mbeyua Abbas Kandoro akisikiliza kwa makini mada iliyokuwa ikiwasilishwa na Makamu mwenyekiti wa TCCIA Taifa Julius Kaijage katika mkutano wa baraza la biashara la Mkoa wa Mbeya katika ukumbi wa shein jijini hapa.
Saturday, July 12, 2014
Wednesday, July 9, 2014
BREAKING NEWS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mkurugenzi wa radio ya SWEET FM na Sweet TV Emmnuel Mbuza amefariki dunia jana usiku jijini Dar es Salaam.tulimpenmda sana lakini mungu kampenda zaidi
Tuesday, July 8, 2014
HABARI KATIKA PICHA ZA TUKIO LA UZINDUZI WA SODA MPYA YA NOVIDA YA CHUPA
kikundi cha burudani cha Cocacola kwanza Mbeya kikitumbuiza katika uzsinduzi huo |
Wafanyakazi wa kampuni ya vinywaji bariddi Cocacola kwanza Mbeya wakifurahia uzinduzi wa soda hiyo mpya ya chupa ya Novida |
Wafabnyakazxi wakipata kifungua kinywa mara baada ya uzinduzi huo |
Meneja mkuu wa mauzo na masoko kanda ya nyanda za juu kusini Shiraz Batchu akionyesha soda mpaya ya chupa aiana ya Novida katika uzinduzi huo
Friday, July 4, 2014
MATUKIO KATIKA PICHA YA MUUNGANO WA JAMII TANZANIA MUJATA WAKITOA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO
PICHA KATIKA MATUKIO YA WARSHA YA BARAZA LA USIMAMIZI WA MAZINGIRA NEMC KWA MAOFISA MALIASILI NA MAZINGIRA KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI
MATUKIO KATIKA PICHA YA MKUTANO WA WADAU WA MFUKO WA AFYA YA JAMII MKOA WA MBEYA
Mganga Mkuu wa hospitali ya Mkoa Mhina akitoa salam katika kutano wa wadau wa mfuko wa afyua ya jamii CHF uliofanyika katika ukumbi wa hospitali ya Mkoa wa Mbeya |
Mstahiki wa Meya wa jiji la Mbeya Atanas Kapunga akitoa salam zake katika mkutano huo |
Meneja wa mfuko wa Taifa wa bima ya Afya Mkoa wa Mbeya Dr Kiolile akizungumza jambo katika mityano huo |
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akitoa hotuba yake katika mkutano huo |
Waratibu wa Wilaya wa mfuko wa afya ya jamii CHF |
Wenyeviti na wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya Mkoa wa Mbeya |
Wakuu wa Wilaya za Mkoa wa Mbeya wakiwa katika mkutano huo |
MATUKIO KATIKA PICHA YA MAADHIMISHO YA SIKU YA KUPINGA MATUMIZI YA MADAWA YA KULEVYA
Subscribe to:
Posts (Atom)