Wakati wa mji mdogo wa Mbalizi Wilaya ya Mbeya waangalia gari iana Toyota Hiace lililogongana na roli aina ya Fuso na kusabnabisha watu 10 kufa papo hapo akiwemo mama na mtoto wake na wengine nane kujeruhiwa katika eneo lililo karibu na kituo cha mafuta barabara kuu ya kutoka Mbeya kwenda Tunduma.
Friday, August 29, 2014
Thursday, August 28, 2014
WAFANYAKAZI WA TAZARA WATISHIA MGOMO BARIDI KWA KUTOLIPWA MIEZI MITANO
Posted on 8:32 PM by Rashid Mkwinda
Mbunge
wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi SUGU akipewa maelezo na mmoja wa
wafanyakazi wa Reli ya TAZARA ambao hawajalipwa mishahara kwa miezi
mitano. |
KANDORO AIOMBA SERIKALI KUU KUMALIZA MGOGORO WA KAPUNGANA
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akizungumza ofisini kwake na Waziri wa Kilimo,Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza mara baada ya kumtembelea ofisini kwake jana
SKIMU YA UMWAGILIAJI YABOMOKA KABLA YA KUTUMIKA WILAYANI MOMBA
Skimu ya umwagiliaji iliyopo Iyendwe Wilaya ya Momba Mkoani Mbeya ilijengwa kwa gharama zaidi ya Sh400milioni chini ya usimamizi wa ofisi ya mwagiliaji kanda ya Mbeya imebomoka kabla ya kuanza kutumika kutokana na kujengwa chini ya kiwango
BWAWA LILILOJENGWA KWA SH 3.077 LABOMOKA KABLA YA KUANZA KUTUMIKA
Waziri wa Kilimo,Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza akijishika kichwa baada kushuhudia mradi wa bwawa kwa ajili ya skimu ya mwagiliaji ya Lwanyo Wilaya ya Mbarali ambayo ujenzi wake umegharimu kiasi cha fedha Sh3.077bilioni,kujengwa chini ya kiwango na kusababisha bawawa hilo kubomoka kabla ya kuanza kutumika.
Sunday, August 24, 2014
VIJANA CCM WATAKIWA KUJITOKEZA KWA WINGI KATIKA KUGOMBEA NAFASI ZA UONGOZI,UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Mjumbe wa baraza kuu la UVCCM Taifa Neema Mwandabila akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa baraza hilo Wilaya ya Chunya lililofanyika katika ukumbi wa chama hico Wilayani humo
BARAZA LA UVICCM WILAYA YA CHUNYA LAFANYIKA KWA VIJANA KUTAKIWA KUSIMIAMIA NA KUDHIBITI MAADILI YA WANACHAMA NA VIONGOZI WAO
Mwanachama na mkereketwa wa CCM Wilaya ya chunya Joshua Mlambalala akitoa malalamiko yake kuhusu Taasisi ya kupumbana na kuzuia Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Chunya,katika semina fupi iliyofanyika kabla ya kuanza baraza la UVCCM Wilayani humo katika ukumbi wa chama hicho.
Friday, August 22, 2014
TMF YAWAPIGA MSASA WAANDISHI WA HABARI MBEYA JINSI KUANDAA MAWAZO YA HABARI
Ofisa wa TMF Japhet Sanga akizungumza katika mkutano wa siku moja baina ya waandishi wa habari na TMF jinsi ya kupata fedha za Ruzuku kwa ajili ya kuandika habari za uchunguzi uliofanyika katika ukumbi wa GR City Hotel jijini Mbeya
Mwandishi mkongwe Ndimara Tegambwage akielezea jinsi ya kuandaaa mawazo ya habari kwa ajili ya kupata fedha za ruzuku kutoka TMF na kufanya kazi ya uandishi wa habari za uchunguzi
Mwandishi mkongwe Ndimara Tegambwage akielezea jinsi ya kuandaaa mawazo ya habari kwa ajili ya kupata fedha za ruzuku kutoka TMF na kufanya kazi ya uandishi wa habari za uchunguzi
Thursday, August 14, 2014
MJUMBE WA NEC SHITAMBALA APANDISHWA KIZIMBANI
Pichani ni Mjumbe wa
halmashauri kuu ya CCM Taifa (NEC) na
Wakakili wa kujitegemea Sambwee Shitambala(wa kwanza kulia) akifurahia jambo na wakili anayemtetea Tasco Luambano mara baada ya kufikishwa katika mahakama ya
hakimu mkazi Wilaya ya Mbeya kwa shitaka la kuingia kwa jinai na kujenga nyumba katika viwanja viwili eneo la Gombe Uyole jijini Mbeya mali ya Jaswinder Palsigh.
Monday, August 11, 2014
MAELFU YA WATU WASHONANA KATIKA BANDA LA COCACOLA KUMSHUHUDIA IZZO B
Msanii wa bongo fleva IZZO B akitumbuiza katika banda la Cocacola Kwanza siku ya nanenane katika viwanja vya nanenane kanda ya nyanda za juu kusuni jijini mbeya
IZZO B akiimba kwa hisia wimbo wake wa tumoghele huku akishangiliwa maelfu ya watu waliojitokeza kumshudia katika banda la Cocacola kwanza katika viwanja vya maonyesho ya nanenane jijini Mbeya
IZZO B akiimba kwa hisia wimbo wake wa tumoghele huku akishangiliwa maelfu ya watu waliojitokeza kumshudia katika banda la Cocacola kwanza katika viwanja vya maonyesho ya nanenane jijini Mbeya
WENGI WAJITOKEZA KWENYE BANDA LA MBEYA CEMENT(LAFARGE)
Ofisa wa kampuni ya LAFARGE akitoa maelekezo juu ya tofari zilizotengenzwa kwa saruji inayozalishwa na kiwanda hicho kwa gharama nafuu
Wanafunzi wakipata maelezo kutoka mmoja wa wafanyakzi wa kamp[uni ya LAFARGE katika maonyesho ya nane nane kanda ya nyanda za juu kusini
Ofisa wa kiwanda ya saruji Mbeya (LAFARGE) Prisca Kalinga alitoa maelezo ya bidhaa zinazozalishwa na kiwanda hicho kwa wageni waliitembelea banda la kampuni hiyo katika maonyesho ya nanenane kanda nyanda za juu kusini
Wanafunzi wakipata maelezo kutoka mmoja wa wafanyakzi wa kamp[uni ya LAFARGE katika maonyesho ya nane nane kanda ya nyanda za juu kusini
Ofisa wa kiwanda ya saruji Mbeya (LAFARGE) Prisca Kalinga alitoa maelezo ya bidhaa zinazozalishwa na kiwanda hicho kwa wageni waliitembelea banda la kampuni hiyo katika maonyesho ya nanenane kanda nyanda za juu kusini
AIRTEL KANDA NYANDA ZA JUU KUSINI WAFIUNGWA MABAO 2-0 DHINI YA TIMU YA VIJANA U-17
Katibu wa chama cha mpira wa soka Mkoa wa Mbeya (MREFA)Seleman Harubu akikagua timu ya kampuni ya Airtel kanda nyanda za juu kusini kwa ajili ya kuanza mechi dhidi ya timu ya vijana U-17 ya Mkoa wa Mbeya mchezo uliochrezwa katika kiwanja cha chuo cha ufundi VETA jijini Mbeya ambapo timu hiyo ya Airtel ilifungwa mabao 2-0.
Mgeni rasmi katika mchezo huo Katibu wa chama cha soka Mkoa wa Mbeya Seleman Harubu akizungumza na wachezaji wa timu zote mbili hawapo picha
Wachezaji wa timu zote mbili wakisalimiana tayari wa kuanza mechi
Timu ya Airtel ikiwa katika picha ya pamoja
Kipa wa timu ya Airtel akijaribu kuokoa goli la pili lakini haikuwa bahati
Mgeni rasmi katika mchezo huo Katibu wa chama cha soka Mkoa wa Mbeya Seleman Harubu akizungumza na wachezaji wa timu zote mbili hawapo picha
Wachezaji wa timu zote mbili wakisalimiana tayari wa kuanza mechi
Timu ya Airtel ikipasha kabla ya kuanza kwa mechi |
Timu ya Airtel ikiwa katika picha ya pamoja
Kipa wa timu ya Airtel akijaribu kuokoa goli la pili lakini haikuwa bahati
AMBASPO BINGWA MASHINDANO AIRTEL RISING MKOA WA MBEYA
Nahodha wa timu ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Mbaspo Academy Boaz Mwire akipokea Kombe la kutoka kwa mgeni rasmi meneja wa kanda ya nyanda za juu kusini Straton Mushi baada ya kushinda mabao 4 - 1 dhidi ya Elimu kutoka mbarali mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa kumbukumbu ya sokoine jiji mbeya kutwaa ubingwa huo kwa mara ya pili.
Thursday, August 7, 2014
UHONDO WA MAONYESHO YA NANENANE NDANI YA BANDA LA COCACOLA KWANZA
Mmoja wa watoto waliopanda jukwaani kucheza muziki katika banda la Cocacola kwanza katika maonyesho ya nane nane kanda ya nyanda za juu kusini
JESHI LA POLISI LAWATAWANYA WAFUASI WA CHADEMA KWA MABOMU YA MACHOZI
Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Mwambigija akizungumza na mkuu wa polisi Wilaya ya Mbeya (OCD) Richard Mchomvu mara baada ya kuzuiliwa kubeba maiti mkononi ya Mwenyekiti wa serikali ya mtaa Ezekiel King aliyefariki dunia juzi mara baada ya kuugua ghafla gerezani wakati akitumikia kifungo cha miaka saba
Wednesday, August 6, 2014
BURUDANI YA COCACOLA KWANZA KATIKA MAONYESHO YA NANE NANE
Mtoto aliyefahamika kwa jina la Jeremiah akionyesha kipaji chake cha kucheza muziki katika banda la Cocacola kwanza kwenye maonyesho ya nane nane kanda ya nyanda za juu kusini jijini Mbeya
Monday, August 4, 2014
COCACOLA KWANZA YATOA BURUDANI KABAMBE KATIKA MAONYESHO YA NANENANE
Mcheza show wa kikundi cha muziki cha jijini Mbeya akitoa burudani katika banda la Cocacola katika maonyesho ya Nane nane kanda ya nyanda za juu kusini katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.
Sunday, August 3, 2014
WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA KATIKA MABANDA YA MAONYESHO YA NANENANE MBEYA
Saturday, August 2, 2014
WAZIRI MKUU PINDA AZINDUA STENDI MPYA YA BASI MBEYA
Waziri mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na wakuu wa Wilaya baada ya kuingia katika eneo la stendi mpya ya nane nane iliyojengwa na halshauri ya jiji la Mbeya kwa ufadhili wa benki ya dunia
RC KANDORO, OFISA UHAMIAJI WABARIKI SAFARI YA WANAHABARI NCHINI MALAWI ,ZAMBIA MAANDALIZI YAELEKEA UKINGONI
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas KANDORO
akitoa baraka za safari kwa wanahabari ofisini kwake leo asubuhi juu ya
ziara yao ya kimafunzo katika nchi za MALAWI na ZAMBIA katikati ya mwezi
Agosti
Subscribe to:
Posts (Atom)