Pages

Saturday, October 11, 2014

Mabasi mapya ya Ndenjela Jet yazinduliwa leo jijini Mbeya


 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akiwasili katika ofisi za Mwaji Group kwa ajili ya  kuhudhulia hafla ya uzinduzi wa mabasi mapya ya kisasa ya Ndenjela yenye huduma kama za ndege kwa abiria wake ikiwa ni pamoja na huduma ya Internent kwa abiria  inayopatikana ndani ya basi.


 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya akisaini kitabu cha Wageni katika ofisi ya Mwaji Group




 Wageni waalikwa wakifuatiolia matukio yanayoendelea katika hafla hiyo


 Mkurugenzi wa Mwaji Group Aran Mwaigaga akicheza muziki wa kabila kisafwaq ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa  sherehe hiyo

 Wafanyakazi wa Ndenjela Jet wakiwasalimia wageni waalikwa


 Dereva Mwanamke wa mabasi ya Ndenjela Jet akipongezwa na kmkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro
 Mmoja wa Wafanyakazi wa Ndenjela Jet akisoma risala mbele ya mgeni rasmi
 Mtaalam wa masuala ya tekpnplojia ya kuongoza na kufanya ukaguzi wa  magari hayo  kwa njia ya mtandao huku yakiwa yanaendelea na safari akielezea namna teknolojia hiyo inavyofanya kazi
 Katibu wa chama cha Mapiunduzi Mkoa wa Mbeya (CCM) akitoa salama za chama katika hafla hiyo
 Mkurugenzi wa Royal Tughimbe akizungumza kwa niaba ya Wafanyabiashara Mkoa wa Mbeya
 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi akitoa salam katika hafla hiyo
 Mkurugenzi wa Mwajhi Group Aran Mwaigaga akitoa salam ya wageni waalikwa na kumkaribisha mkuu wa Mkoa wa Mbeya kutoa hotuba yake
 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akihutubia katika hafla ya uzinduzi wa mabasi hayo ya Ndenjela Jet
 Basi jipya la Kisasa la Ndenjela Jet likiwa na huduma ya Internent kwaq ajili ya abiria wawapo safarini
 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akishangilia mara baada ya kukata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa mabasi hayo

 Mkurugenzi mtendaji wa Mwaji Group Aran Mwaigaga akitoa maelekezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro na Kmanda wa polisi Mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi  wakiuwa wamekaa ndani ya moja ya mabasi ya kisasa ya Ndenjela Jet  ikiwa ni moja ya uzinduzi wa mabasi hayo
Meza kuu ikiongozwa na Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro katika siku ya uzinduzi wa mabasi ya Ndejera Jet

0 comments: