Pages

Tuesday, October 21, 2014

WAKULIMA WA ZAO LA MPUNGA KATIKA WILAYA YA KYELA,MOMBA NA MBARALI WAPATA MKOMBOZI


 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akizungumza na wakulima na Wadau wa zao la Mpunga katika uzinduzi wa shirikisho la MTAYArF lillioundwa na makampuni matatu ya Mtenda Kyela Rice Supply,Tanseed International Ltd na YARA Tanzania Ltd katika ukumbi wa Mtenda jijini Mbeya.

CHANJO YA SURUA NA RUBELLA YAZINDULIWA WILAYANI ILEJE KIMKOA OKTOBA 18,2014

 Mkuu wa Wilaya ya Ileje Rosemary Sinyamule  akitoa chanjo kwa mtoto wa miezi sita Chrisina Haonga katika uzinduzi wa chanjo ya Surua na Rubella kimkoa katika kijiji cha Chitete Wilaya ya Ileje Mkoani Mbeya

Saturday, October 11, 2014

Mabasi mapya ya Ndenjela Jet yazinduliwa leo jijini Mbeya


 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akiwasili katika ofisi za Mwaji Group kwa ajili ya  kuhudhulia hafla ya uzinduzi wa mabasi mapya ya kisasa ya Ndenjela yenye huduma kama za ndege kwa abiria wake ikiwa ni pamoja na huduma ya Internent kwa abiria  inayopatikana ndani ya basi.

Humphrey Mbyagilemo:Mwanafunzi anayetisha katika masomo ya sayansi katika shule ya sekondari ya Mlima Mbeya

 Humphrey Mbyagilemo akitoka kupokea zawadi ya mshindi wa pili wa jumla baada ya kuongoza masomo zaidi ya matano yakiwemo masomo yote ya sayansi katika mahafari ya kidato cha nne ya  shule ya sekondari ya Mlima Mbeya yaliyofanyika jana kwenye  ukumbi wa shule hiyo Forest Mpya jijini Mbeya .