Pages

Saturday, October 11, 2014

Humphrey Mbyagilemo:Mwanafunzi anayetisha katika masomo ya sayansi katika shule ya sekondari ya Mlima Mbeya

 Humphrey Mbyagilemo akitoka kupokea zawadi ya mshindi wa pili wa jumla baada ya kuongoza masomo zaidi ya matano yakiwemo masomo yote ya sayansi katika mahafari ya kidato cha nne ya  shule ya sekondari ya Mlima Mbeya yaliyofanyika jana kwenye  ukumbi wa shule hiyo Forest Mpya jijini Mbeya .


 Humphrey akipokelewa kwa furaha na mjomba wake Brown Mbyagilemo  baada ya kupokea  tuzo ya mshindi wa pili wa kwa masomo ya  jumla katika mahafari ya kidato cha nne  ya shule ya Sekiondari ya Mlima Mbeya  yaliyofanyika jana  katika ukumbi wa  shule hiyo




 Humphrey akipokea Cheti kutoka kwa mgeni rasmi ambaye ni katibu Tawala  Wilaya ya Mbeya (DAS)


 Humphrey akilishwa keki na mjomba wake

 Humphrey akiwa katika picha ya pamoja na Mwanafunzi mwenziye ambaye ndiye mshindi wa kwanza  wa Jumla



 Mjomba  wake Humphrey,Geofrey Mbyagilemo akimlisha keki MC wa  mahafari hayo
 Wazazi na wageni waalikwa wakifurahia mahafari hayo jinsi yalivyofana katika ukumbi wa shule hiyo

 Wanafunzi wa shule hiyo wakionyesha vipaji vyao katika sanaa ya kuchexza na moto
 Humphrey akiwa katika picha ya pamoja na Wajomba zake katika mahafali hayo


 Humphrey akikabidhiwa Zawadi ya Dola za Kimarekani kutoka kwa mjomba wake baada ya kuongoza katika masomo ya sayansi



Humphrey  akipongezwa na mjomba wake Geofrey Mbyagilemo katika mahafali hayo

0 comments: