Pages

Monday, March 28, 2016

WAJAWAZITO WALALAMIKIA KUTOLEWA LUGHA CHAFU NA WATOA HUDUMA

 WAJAWAZITO. wa kata ya Igale wilayani Mbeya mkoani hapa wamelalamikia  kufukuzwa na kunyimwa huduma za uzazi kutoka kwa baadhi ya watoa huduma katika  zahanati za vijiji kwa madai  ya kuwa wananuka.


MTOTO Vivian Philipo(12)  akichota maji kwenye mfereji  kutokana na uhaba wa maji katika kijiji cha Izumbwe Wilaya ya Mbeya vijijini .

FAIDAMALI YATOA MSAADA WA BAISKELI NA KOMPUTA KWA VIKUNDI VYA WAKULIMA NA SACCOS


Mwakilishi kutoka AGRA Valentino Miheso akikabidhi Kompyuta kwa chama cha akina na mikopo (SACCOS) cha  Juhudi Ijombe Mbeya vijijini.

TAASISI  ya FaidaMali  kwa ufadhili wa Shirika la Mapinduzi ya Kijani (AGRA), imetoa msaada wa baiskeli  kwa vikundi 60 vya wakulima  zenye thamani ya Sh11.4 kwa ajili ya kurahisisha mawasiliano katika shughuli za kilimo kwa Wilaya tatu za Morogoro na Mbeya.

Tuesday, March 1, 2016

ROMM'S LIQUOR STORE KWA HUDUMA ZA VINYWAJI NA NYAMA CHOMA

Ushikwapo na kiu huna haja ya kutafuta wapi utakata kiu yako kwa vinywaji mbalimbali ambavyo ni maalumu kwa ajili ya kukuondolea uchovu baada ya kazi nzito ya mchana kutwa, ROMM'S LIQUOR STORE ni mahala pekee unapoweza kupumzika na kuburudika.

ROMM'S LIQUOR STORE ni eneo pekee lililopo jijini Mbeya ambako utapata vinywaji vikali kutoka ndani na nje ya nchi, wanapatikana eneo kumbukumbu ya Uwanja wa Sokoine mkabala na Benki ya Taifa ya Biashara NBC Karume Branch


ROMM'S kwa huduma bora za vinywaji vikali na vinywaji baridi, tunapatikana mkabala na Uwanja wa Sokoine upande kaskazini kwa nje karibu na ukumbi wa akina mama lishe






Charles 'Mbununu' mmiliki wa ROMM'S LIQUOR STORE akimkaribisha mteja wake maarufu kwa jina la Maziwa



Charles Mbununu na Maziwa wakiwa katika pozi wakijiandaa kuburudika na vinwaji kutoka ROMM'S LIQUOR STORE