Pages

Tuesday, March 1, 2016

ROMM'S LIQUOR STORE KWA HUDUMA ZA VINYWAJI NA NYAMA CHOMA

Ushikwapo na kiu huna haja ya kutafuta wapi utakata kiu yako kwa vinywaji mbalimbali ambavyo ni maalumu kwa ajili ya kukuondolea uchovu baada ya kazi nzito ya mchana kutwa, ROMM'S LIQUOR STORE ni mahala pekee unapoweza kupumzika na kuburudika.

ROMM'S LIQUOR STORE ni eneo pekee lililopo jijini Mbeya ambako utapata vinywaji vikali kutoka ndani na nje ya nchi, wanapatikana eneo kumbukumbu ya Uwanja wa Sokoine mkabala na Benki ya Taifa ya Biashara NBC Karume Branch


ROMM'S kwa huduma bora za vinywaji vikali na vinywaji baridi, tunapatikana mkabala na Uwanja wa Sokoine upande kaskazini kwa nje karibu na ukumbi wa akina mama lishe






Charles 'Mbununu' mmiliki wa ROMM'S LIQUOR STORE akimkaribisha mteja wake maarufu kwa jina la Maziwa



Charles Mbununu na Maziwa wakiwa katika pozi wakijiandaa kuburudika na vinwaji kutoka ROMM'S LIQUOR STORE

0 comments: