Pages

Tuesday, September 30, 2014

WAANDISHI WA HABARI WALIOPATA RUZUKU TMF WAPATIWA MAFUNZO YA AWALI

Baadhi ya waandishi wa habari waliopata ruzuku  ya TMF  ya kuandika habari za vijijini  wakiwa katika mafunzo ya awali katika ukumbi wa TMF Jijini Dar es salaam

 Baadhi ya Waandishi waliopata ruzuku ya kuandika habari za vijijini ya TMF  wakisikiliza kwa makini somo la Uandishi wa Makala na habari za uchunguzi katika ukumbi wa TMF jijini Mbeya.


 Mkufunzi na Mwandishi   wa habari Mkongwe Burhan Muhunzi akiwasilisha mada ya Uandishi wa habari za makala na  habari za uchunguzi




Mkufunzi na Mwandishi Mkongwe Lucas Kisasa akiwasilisha mada

0 comments: