Pages

Thursday, May 5, 2016

DJ WA RADIO BOMBA FM ATOA KALI YA MWAKA ANING'INIA KWENYE MNARA KAMA NJIWA



DJ Imma Boy akining'inia juu ya mnara kama njiwa kwa kile alichoeleza anadai mshahara wake vinginevyo anajirusha chini na kujiua
 

DJ WA RADIO BOMBA FM MBEYA ATOA KALI YA MWAKA
Ni Dee Jey Imma Boy
-Apanda juu ya Mnara na kudai mshahara
-Atishia kujiua kwa kuruka chini
-Aharibu mitambo
- Matangazo yazima kwa saa 6
- Aswekwa Lupango
- Afunguliwa kesi 3 ya kutaka kujiua, wizi na kufanya vurugu
MB/RB/136/7016

0 comments: