Pages

Sunday, June 8, 2014

Habari katika picha ya tukio la Miss Mbeya katika viwanja vya New City Pub jijini Mbeya





Ma MC Rambat Mbeya FM  na Shaban  wa Bomba Fm  wakiendelea  kuongoza ratiba ya mashindano hayo 





Warembo wakionyesha show mbele ya umati wa watu uliofurika katika viwanja vya New City Pub jijini Mbeya

 Majaji wakiwa kazini

Mshindi wa Miss Mbeya 2014 akiwa kwenye vazi la ubunifu




Majaji wakifuatilia kwa makini warembo walipokuwa wakipita mbele

 Mmoja wa Jaji Brandy Nelson kutoka Mwananchi na mmiliki wa mtandoa huu akisoma swali kwa washiriki wa Miss Mbeya 2014


 Mmoja wa majaji Gabriel Mbwile kutoka Bomba FM akieklezea vigezo vinavyotumika katika kumpata mshindi.
Mmoja wa majaji  Tito kutoka TBL Akiwatangaza  warembo waliofudhu kungia tano bora

Washindi wa tano bora

Wadhamini wa madhindano hayo wakijitambulisha mbele ya mashabiki na wapenzi wa mashindano ya urembo


Wapenzi na mashabiki wa mashindano ya urembo wakifuatilia kwa makini warembo walipokuwa wakipita jukwaani

Washindi wa tano bora wakisubiria kujibu maswali yaliyouliwa na majaji na hatimaye kupatikana mshindi wa kwanza hadi wa tatu.



Bendi ya  FM Academia (WAZEE WA NGWASUMA)Wakitumbuiza  katika mashindano hayo


Meneja wa Bomba FM ambao ndiyo waandaji wa madhindano ya miss Mbeya Mkoa wa Mbeya Fredy  Herbert akizungumza na wageni waalkwa kabla ya kutangazwa  kwa  Miss Mbeya 2014

Majaji  wakiwa katika picha ya pamoja na Miss Mbeya 2013 ikiwa ni maandalizi ya kutangwa kwa atokeo ya Miss Mbeya 2014 katika viwanja  City Pub jijini Mbeya


Washindi wa pili,watatu na wanne wakimsikiliza kwa makini jaji  Gabriel Mbwile  kumtaja mshindi wa  wa kwanza Miss Mbeya 2014

Miss Mbeya 2013 akimvisha taji Atukuzwe Fabian mara baada ya kutwaa taji la Miss Mbeya 2014 katika viwanja  vya City Pub jijini Mbeya


Miss Mbeya 2014 akiwa katika picha ya pamoja na warembo wanzake

Mwakilishi  wa kampuni ya bia Tanzania (TBL) Abu  Mansoli akimkabidhi Zawadi  mshindi wa pili

Mwakilishi wa kampuni ya Access Compyutor Steven Msekwa akimkabishi mshindi wa kwanza wa taji la Miss Mbeya 2014 Atukuzwe Fabian baada ya kunyaku taji hilo katika viwanja vya New  City Pub
 Miss Mbeya Atukuzwe Fabian akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili na wa Tatu mara baada ya kuvishwa  taji la Miss Mbeya



0 comments: