Pages

Saturday, August 2, 2014

RC KANDORO, OFISA UHAMIAJI WABARIKI SAFARI YA WANAHABARI NCHINI MALAWI ,ZAMBIA MAANDALIZI YAELEKEA UKINGONI

 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas KANDORO akitoa baraka za safari kwa wanahabari ofisini kwake leo asubuhi juu ya ziara yao ya kimafunzo katika nchi za MALAWI na ZAMBIA katikati ya mwezi Agosti

 RC KANDORO akisikiliza kwa makini azma ya safari ya kimafunzo ya wanahabari nchini MALAWI na ZAMBIA

 Baadhi ya wanahabari waliofika Ofisini kwa Mkuu wa Mkoa leo saa moja asubuhi
 Mkuu wa Mkoa Abbas KANDORO akifuatilia kwa makini maelezo ya wanahabari juu ya ziara yao katika nchi za MALAWI na ZAMBIA.

 Baada ya maelezo mafupi ACHACHA aliahidi kushirikiana na wanahabari kwa hali na mali na kuwataka wanahabari wasio na HATI za kudumu za usafiri(PASSPORT) watumie vyema ofisi yake ili waweze kukamilisha zoezi hilo mapema kabla ya safari





0 comments: