Pages

Saturday, August 2, 2014

WAZIRI MKUU PINDA AZINDUA STENDI MPYA YA BASI MBEYA



 Waziri mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na wakuu wa Wilaya baada ya kuingia katika eneo la stendi  mpya ya nane nane iliyojengwa na halshauri ya jiji la Mbeya kwa ufadhili wa benki ya dunia





 Wananchi kutoka maeneo mbali mbali wakishuhudia uzinduzi wa stendi mpaya ya Basi ilijengwa na halmshauri ya jiji la Mbeya kwa ufadhili wa benki ya dunia

Viongozi mbali mbali wakiwemo  Madiwani wa halmashauri ya jiji la Mbeya wakimsikiliza Waziri Mkuu  Mizengo Pinda
 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akihutubia wakati wa uzinduzi wa stendi  mpya ya nane nane ambapo amezitaka stendi zote kujengwa gereji kwa ajili kukagua mabasi kabla ya kuanza safari ikiwa ni pamoja na kutenga maeneo muhimu ya wamachinga



 Waziri mkuu Mizengo Pinda akikata utepe katika uzinduzi wa stendi mpya ya mabasi



0 comments: