Pages

Sunday, August 3, 2014

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA KATIKA MABANDA YA MAONYESHO YA NANENANE MBEYA

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiangalia muhindi ambao umezalishwa kwa mbegu bora kutoka kituo cha utafiti Ari Uyole jiji Mbeya  alipotembelea mabanda katika maonyesho ya  wakulima na wafugaji nane nane jijini Mbeya

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa katika banda la halmashauri ya Wilaya ya Rungwe



Wafanyakazi wa kampuni ya Saruji Mbeya LAFARGE wakiwa kwenye banda lao katika maonyesho ya nane nane jijini Mbeya

 Meneja mauzo ufundi wa kampuni ya Saruji Mbeya LAFARGE Emil Sindato na Prisca Kalinga wakiwa tayari kwa ajili ya kupokea wageni wanaotembelea mabanda ya maonyesho ya nane nane na kuweza kupata taarifa mbali mbali kuhusu shughuli za kiwanda hicho
 Wafanyakazi wa kampuni ya vinywaji baridi CocaCola Kwanza Kanda ya nyanda za juu kusini wakiwa katika picha ya pamoja katika banda lao kwenye maonyesho ya nanenane jijini Mbeya



0 comments: