Pages

Thursday, August 28, 2014

SKIMU YA UMWAGILIAJI YABOMOKA KABLA YA KUTUMIKA WILAYANI MOMBA

Skimu ya umwagiliaji iliyopo Iyendwe Wilaya ya Momba Mkoani Mbeya   ilijengwa kwa gharama zaidi ya Sh400milioni chini ya usimamizi wa ofisi ya mwagiliaji kanda ya Mbeya imebomoka kabla ya kuanza kutumika kutokana na kujengwa chini ya kiwango





 Mwandishi wa habari wa TBC1 Hosea Cheyo akiwa kazini katika skimu ya umwagiliaji ya Iyendwe Wilaya ya Momba Mkoani Mbeya

 Waziri wa Kilimo,Chakula na Ushirika Christopher Chiza akizungumza mara baada y akushuhudia kubomoka kwa skimu ya umwagiliaji ya Iyendwe Wilaya ya Momba Mkoani Mbeya

0 comments: