Pages

Saturday, January 24, 2015

Mbeya Queens yafuzu Robo fainali Taifa Cup baada kuchapa Katavi mabao 12-0

  Mshambuliaji machachari wa timu ya Soka ya   Mbeya Queens Diana Lucas akimtoka mlinzi wa timu ya Katavi katika ligi ya Taifa iliyofanyika kwenye uwanja wa kumbukumbu ya sokoine jijini mbeya, Mbeya Queens ilishinda mabao 12-0 ambapo yeye alifunga mabao manne.

 Diana ambaye alionekana kuwa nyota wa mchezo huo akimtoka mlinzi Katavi na kwenda kufunga bao la pili




Diana akipiga shuti la mbali  ambapo mpira huo uliingia wavuni moja kwa moja na kuwaacha  mashabiki walikuwepo uwanjani hapo kushikwa na butwaa kutokana na Diana kuwa  na umri  mdogo na umbile dogo kuliko wachezaji wote 
 Mashabiki wakiwa jukwaa kuu kushuhudia mechi hiyo na kuvutiwa na mchezaji machachari Diana Lucas
 Mwamuzi mkongwe wa kike Elizabeth Kalinga akisalimiana na wachezaji wa timu ya Mbeya queens kabla ya kuanja mchezo huo
 Mwamuzi mkongwe wa kike Elizabeth Kalinga akisalimiana na wachezaji wa timu ya Katavi Queens kabla ya kuanza mchezo huo

 Diana akikimbilia mpira katika mchezo huo

 Mashabiki wa timu ya Mbeya Queens wakishangilia moja ya goli


0 comments: