Pages

Monday, February 9, 2015

UWAMU Saccos watoa msaada wa Madawati 100 Mbeya

 Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Dr Norman Sigalla akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa shule ya msingi baada ya kupokea msaada wa madawati 100 yenye thamani ya Sh5milioni kutoka kwa chama cha akiba na mikopo (Uwamu Saccos)  cha bonde la Uyole jijini Mbeya.

 Wajumbe wa bodi na uongozi wa Uwamu Saccos wakiwa wamebeba moja ya madawati yaliyotolewa na Saccos hiyo kwa mkuu wa Wilaya ya Mbeya kwa ajili ya shule za msingi




0 comments: