Pages

Monday, August 11, 2014

AIRTEL KANDA NYANDA ZA JUU KUSINI WAFIUNGWA MABAO 2-0 DHINI YA TIMU YA VIJANA U-17

 Katibu wa chama cha mpira wa soka Mkoa wa Mbeya (MREFA)Seleman Harubu akikagua timu ya kampuni ya Airtel kanda nyanda za juu kusini kwa ajili ya kuanza mechi dhidi ya  timu ya vijana U-17 ya Mkoa wa Mbeya mchezo uliochrezwa katika kiwanja cha chuo cha ufundi VETA jijini Mbeya ambapo timu hiyo ya Airtel ilifungwa mabao 2-0.
Katibu wa chama cha mpira wa soka Mkoa wa Mbeya (MREFA)Seleman Harubu akikagua   ya vijana umri chini ya miaka 17 mkoa wa Mbeya  kwa ajili ya kuanza mechi dhidi ya  ya Airtel kanda nyanda za juu kusini mchezo uliochezwa katika kiwanja cha chuo cha ufundi VETA jijini Mbeya ambapo timu hiyo ya Airtel ilifungwa mabao 2-0.

 Mgeni rasmi katika mchezo huo Katibu wa chama cha soka Mkoa wa Mbeya Seleman Harubu akizungumza na wachezaji wa timu zote mbili hawapo picha
 Wachezaji wa timu zote mbili wakisalimiana tayari wa kuanza mechi
Timu ya Airtel  ikipasha kabla ya kuanza kwa mechi




 Timu ya Airtel ikiwa katika picha ya pamoja
 Kipa wa timu ya Airtel akijaribu kuokoa  goli la pili lakini haikuwa bahati


0 comments: