Pages

Monday, August 11, 2014

WENGI WAJITOKEZA KWENYE BANDA LA MBEYA CEMENT(LAFARGE)

 Ofisa wa  kampuni ya LAFARGE akitoa maelekezo juu ya tofari zilizotengenzwa kwa saruji inayozalishwa na kiwanda hicho kwa gharama nafuu




 Wanafunzi wakipata maelezo kutoka mmoja wa wafanyakzi wa kamp[uni ya LAFARGE katika maonyesho ya nane nane kanda ya nyanda za juu kusini



Ofisa wa kiwanda  ya saruji Mbeya (LAFARGE) Prisca Kalinga alitoa maelezo ya bidhaa zinazozalishwa na kiwanda hicho  kwa wageni waliitembelea  banda  la kampuni hiyo katika maonyesho ya nanenane kanda nyanda za juu kusini

0 comments: