Pages

Wednesday, August 6, 2014

BURUDANI YA COCACOLA KWANZA KATIKA MAONYESHO YA NANE NANE

 Mtoto aliyefahamika kwa jina la Jeremiah akionyesha kipaji chake cha kucheza muziki katika banda la Cocacola kwanza kwenye maonyesho ya nane nane kanda ya nyanda za juu kusini jijini Mbeya


 Watoto wakiwa katika shindano la kucheza muziki kwenye banda la CocaCola kwanza kwenye maonyesho ya nanenane kanda ya nyanda za juu kusini jiji ni Mbeya


MAMIA ya watu  wakiwashangilia watoto wanocheza muziki katika banda la Cocacoka kwanza katika maonyesho ya nane nane  kanda ya nyanda za juu kusini jijini Mbeya 
 Dj Festo akiwa kazini katika  banda la Cocacola kwanza kwenye maonyesho ya nane nane



 Watoto wakicheza mchezo unaopendwa na watoto wengi maalufu kwa jina la Kiduku katika banda la CocaCola Kwanza

0 comments: