Pages

Friday, August 22, 2014

TMF YAWAPIGA MSASA WAANDISHI WA HABARI MBEYA JINSI KUANDAA MAWAZO YA HABARI

 Ofisa wa TMF Japhet Sanga akizungumza katika mkutano wa siku moja  baina ya waandishi wa habari na TMF jinsi ya kupata fedha za Ruzuku kwa ajili ya kuandika habari za uchunguzi uliofanyika katika ukumbi wa GR City Hotel jijini Mbeya
 Mwandishi mkongwe Ndimara Tegambwage akielezea jinsi ya kuandaaa mawazo ya habari kwa ajili ya kupata fedha za ruzuku kutoka TMF na kufanya kazi ya uandishi wa habari za uchunguzi



 Mmoja  wa washiriki katika mkutano huo akichangia mada  jinsi ya  uandaaji wa mawazo ya habari
 Washiriki katika mkutano huo waandishi wa habari wakisiliza kwa makini
 Mshiriki  Haines Thoabis akichangia mada ya jinsi ya kuandika habari za uchunguzi
 Mwandishi Mkongwe Ndimara Tegambwage mwenye kofia ya pama akijadiliana jambo na Mwandishi mkongwe ambaye ni ofisa wa TMF
 Mwandishi wa gazeti la Citizen Jackson Numbi na Mwandishi wa gazeti la Nipashe Angelika Sullus wakisikiliza kwa makini


 Mwandishi wa Azam Television Kakuru  akichangia hoja ya jinsi alivyofanikiwa kupata fedha za ruzuku kutoka TMF
Mwananchi wa gazeti la Mwananchi Godfrey Kahango akichangia hoja katika mkutano huo

0 comments: