Pages

Thursday, August 7, 2014

UHONDO WA MAONYESHO YA NANENANE NDANI YA BANDA LA COCACOLA KWANZA



Mmoja wa watoto waliopanda jukwaani kucheza muziki katika banda la Cocacola kwanza katika maonyesho ya nane nane kanda ya nyanda za juu kusini


 Baadhi ya vijana walipoamua kulisakata Lumba baada kunogewa namuziki unaopigwa kwenye banda la Cocacola katika maonyesho ya nanenane kanda ya nyanda za juu kusini kwenye viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya

 Mtoto huyu aliamua kuweka mifuko ya plastiki maalufu kwa jina la rambo pembeni nakuamua kupanda jukwaani kuonyesha ufundi wake wa kucheza Kidugu


 Watoto wakipata kiburudisho cha kinywaji baridi aiana ya Novida ya Chupa mara baada ya kulisakata Rumba katika banda la Coacacola Kwanza katika maonyesho ya Nanenane kanda ya nyanda za juu kusini katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya







0 comments: