Pages

Sunday, March 8, 2015

Matukio katika picha ya Ziara ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda katika kiwanda cha kukoboa kahawa (CMS)

MENEJA Mkuu wa  kampuni ya kununua na kukoboa kahawa ya CMS Yogeshi akisalimiana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda alipokuwa akiwasili katika kiwanda cha kukoboa kahawa cha CMS Mlowo Wilaya ya ,Mbozi Mkoani Mbeya 


 Waziri kuu Mizengo Pinda akiangalia aina za kahawa zinazokobolewa katika kiwanda cha CMS
Waziri Mkuu akiingia ndani ya Kiwanda cha kukoboa kahawa cha CMS
 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiingia ndani ya kiwanda hicho

 Waziri mkuu akitoka ndani ya kiwanda cha CMS
 Wafanyakazi wa CMS wakiwa katika picha ya pamoja
 Wakulima wa kahawa kutoka vijiji mbalimbali Wilaya ya Mbozi wakimsikiliza Waziri Mkuu


 Kikundi cha ngoma ya asili ya kabila la Wanyia wakitoa burudani
 Wakulima wa  zao la kahawa wakiwa katika picha ya pamoja
Viongozi wa Wilaya ya Mbozi na Momba wakiwa wamejipanga tayari kwa ajii ya kumpokea Waziri Mkuu katika kiwanda cha CMS

0 comments: