Pages

Tuesday, March 3, 2015

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya awaapisha Wakuu wa Wilaya Wapya

 Wageni waalikwa waliohudhuria hafla fupi ya kuwaapisha wakuu wa Wilaya Wapya iliyofanyika katika viwanja vya ofisi ya mkuu wa Mkoa wa Mbeya jijini hapa.
 Pichani ni wakuu wa Wilaya ya za Mkoa wa mbeya

 Kiongozi wa dini ya kiislam akisomna dua katika hafla hiyo

 Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Zainabu Mbussi akiapa mbele ya mkuu wa Mkoa wa Mbeya
 Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Ahmad Nammohe
 Mkuu wa Wilaya ya Kyela Thea Ntara
 Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Nyerembe Munasa akizungumza kwa niaba ya wenzake
 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akiwa katika picha ya pamoja na kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa
 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa dini
 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akiwa katka picha ya pamoja na watendaji wa ofisi yake na wakuu wa wilaya wapya

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akiwa katika picha ya pamoja na Waandishi wa habari Mkoa wa Mbeya

0 comments: